mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 637
Shule nimemaliza na majina mawili mfano yani ALLY JUMA ndio ipo kwenye vyeti ila kila napoambiwa kujaza jina la tatu uwa naliweka katikati ili JUMA iendelee kuwepo mwisho yani; ALLY KASSIM JUMA, ila nimeenda sehemu wananiambia jina la tatu lazima liwe mwishoni yani ALLY JUMA KASSIM,
Je kisheria jina langu sahihi ni lipi ikiwa vyeti vyangu vina majina mawili tu?
Je kisheria jina langu sahihi ni lipi ikiwa vyeti vyangu vina majina mawili tu?