mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 637
Jina la tatu mkuu linakua popote ilimrad liwe n jina halil kisheria
Hapo naomba kuuliza na mmInategemea unaandika wapi kwa kawaida kuna jina la kwanza , la kati na la unin mara nyingi la ubin linakuwa mwisho. Lakini unweza kukuta form nyingine wanakueleza kabisa kabda Jina l Ubin ( Surname) litangulie, lije la kwanza halafu la katikati. Mfano mi jinalangu ni Mwana Kibinda Nkoi. Ubin wangu ni Nkoi, Kibinda la kati na la kwanza ni Mwana, Itakuwa: Nkoi, Mwana Kibinda. Etc
Mkuu andaa Deep poll ulikane jina moja na usajili hilo lingine unalotakaHapo naomba kuuliza na mm
Naitwa DERICK REUBEN MAFURU kwa cheti cha kuzaliwa lakini vyeti vyangu vyote vya shule vimeandikwa DERICK R MBUYA
Katika maswala ya Kiofisi mfano appliation za Chuo kwenye nafasi ya kujaza Full name napaswa kuandika DERICK REUBEN MBUYA au DERICK R MBUYA kama ilivyo kwenye vyet?
Ally Juma kassimShule nimemaliza na majina mawili mfano yani ALLY JUMA ndio ipo kwenye vyeti ila kila napoambiwa kujaza jina la tatu uwa naliweka katikati ili JUMA iendelee kuwepo mwisho yani; ALLY KASSIM JUMA, ila nimeenda sehemu wananiambia jina la tatu lazima liwe mwishoni yani ALLY JUMA KASSIM,
Je kisheria jina langu sahihi ni lipi ikiwa vyeti vyangu vina majina mawili tu?
Ndio inakuaje hiyo Mkuu?Mkuu andaa Deep poll ulikane jina moja na usajili hilo lingine unalotaka
MkuuAlly Juma kassim
Naomba msaada wako pia nisahihishe kidogo.Ally Juma kassim
Ni doc ya kisheria ambayo ni ya kubadilisha majinaNdio inakuaje hiyo Mkuu?
Daaah hivi inaruhusiwa kuandikisha majna ya kati kwa vifupisho kama vile R badala ya Reuben.? Na hiyo inaeffect gan kwenye application za chuo?
Si jina la katika Reuben hiyo ni sawa tu mara nyingi wanaandika initial letter, mfano JUMA KANGAROO PHILIPO= JUMA K. PHILIPONaomba msaada wako pia nisahihishe kidogo.
Hapo kwenye Majna Matatu yote yanafanana DERICK REUBEN MBUYA kwa chst cha kuzaliwa lakini kwa vyet vya shule hyo REUBEN imefupishwa na kuandikwa R
Tatzo liko hapo kwenye REUBEN na R, Vp hiyo ina madhara gan?
Ikitokea vyeti vya taaluma vitumie JUMA K. PHILIPO, ila National ID, itumie JUMA KANGAROO PHILIPO,Si jina la katika Reuben hiyo ni sawa tu mara nyingi wanaandika initial letter, mfano JUMA KANGAROO PHILIPO= JUMA K. PHILIPO