Kama ni HP, hilo ni tatizo la kawaida sana. Fanya hivi, toa betri, bonyeza kitufe cha kuwashia sekunde 30 bila kuunganisha chaja yake ya umeme.
Unagasha chaja ya umeme, tena bonyeza kitufe cha kuwashia sekunde 30. Rudisha betri, unganisha chaja, washa (Bonyeza kitufe cha kuwashia).