1. Jaribu kuinstall versionza nyuma za hizo softwares ( Nina maana versio 8 au 7 ya antirus.) Pia unaweza kujaribu kuinstall antivirus nyingine kama avast.( its free and good) Ikikubali hiyo unaweza kuwa nayo wakati unajaribu kuchunguza tatizo nini kwa AVIRA unayopenda wakati PC yako iko protected. Ikikataa then itazidi kutoa mwanga zaidi
2. Install latest SP ya XP ambayo ni SP3. baada jaribu tena kuisntall hizo sofware
3. Cheki kwenye installion Drive C kama ina space ya kutosha kuruhusu program nyingine.
4. Try to post the problem kwenye official website ya avira au search kwenye forum inawezekana kuna watu walishakutana na hilo tatizo na suluisho likapatikana.
otherwise nitumie yahoo mesenja adress yako.i will happy to help.