Mkuu, pole sana kwa tatizo lako, je umejaribu kuchomeka kwenye computer nyingine? isijekuwa USB yake ni mbovu ndio maana haisomi!Habari wakuu, nadhani nitakuwa nimekuja katika sehemu sahihi. Nina camera aina ya fujifilm A800 na laptop aina ya Mac lakini mara ninapoconnect camera haisomi kabisa katika computer.
Tatizo hili lilianza mara nilipoamua kuweka office 2008 katika computer lakini kabla ya hapo kila kitu kilikuwa ni shwari. Lakini vitu vingine kama vya voice recorder vinasoma kama kawaida.
Je tatizo litakuwa ni nini? Naomba msaada tafadhali. Thanks
Ndugu, ili jukwaa linatia kichefu chefu siku hizi watu wote wame kimbialia kwenye majukwaa ya Siasa.Tanzania kila mtu anataka kuwa mwanasiasa wanaacha kufanya shughuli za fani zao wanakimbillia siasa ili nao wawe Mafisadi.Jamani hakuna wataalamu wa kutoa walau ushauri hapa? Am stuck!
Mkuu, pole sana kwa tatizo lako, je umejaribu kuchomeka kwenye computer nyingine? isijekuwa USB yake ni mbovu ndio maana haisomi!
Nitaanza na zoezi hilo kwanza
http://www.fujifilm.com/products/digital/download/01/index.html jaribu kudownload hizi Driver nadhani zinaweza kukusaidia.
Ndugu, ili jukwaa linatia kichefu chefu siku hizi watu wote wame kimbialia kwenye majukwaa ya Siasa.Tanzania kila mtu anataka kuwa mwanasiasa wanaacha kufanya shughuli za fani zao wanakimbillia siasa ili nao wawe Mafisadi.
jaribu kutoa hiyo office 2008 then uone kama inasoma na jaribu kuchomeka usb ingine uone kama inasoma