Msaada: Laptop yangu inakataa kuconnect na internet

Msaada: Laptop yangu inakataa kuconnect na internet

ze future

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
204
Reaction score
299
Habari yako,

PC yangu kwa muda sasa kila nikijaribu kuconect internet kupitia simu yangu inasema "Limited" na status yake inasema "unidentified network" na "no internet access", natumia windows 8.

Nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa jinsi ya kulitatua tatizo hili.
 
Restart kifaaa chako cha internet kisha connect tena.
 
Hizo wireless driver haziko properly installed, na mara nyingi tatizo hili linatokea ukiweka windows 8.1

Unistall wireless driver, network adapters, kisha ingia kwenye officia websites ya brand ya pc yako (kama dell.com au hp.com) weka info za pc yako kwenye search box kisha download upya drivers za networks
 
Asante
 
Check driver za network maybe sio comparable na operating system,au zimecorrupt kutokana na virus,tafuta universal network drivers zitasaidia.
 
Troubleshoot kwanza uone kama itakupa option ya kusolve hyo shida, kama sivyo, remove kabisa hyo device yako kwnye orodha ili uanze kuiingiza kama device mpya kabisa.
 
Back
Top Bottom