Zikwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 239
- 131
Natumia Dell Insparion tatzo lake ni kuonyesha
255% AVAILABLE (PLUGGED IN)
Kwenye Icon ya Betri kwa lugha Nyepesi Kwenye alama Ya Betri badala ya Kuonyesha inachaji na Asilimia Zake ndo inaonyesha Hizo asilimia 255%, Nimejaribu Kuupdate driver Lakini imeshindikana Na Pia Nina Betri mbili moja Ni mpya Kabisaa lakini nikiweka Betri Inasema *System can not charge this battery.
Wakati ndo bettri la Dell na Nikaamua Kuchukua Replacement battery Nalo bado, Lakini pia Mda Mwingine ukiweka Betri inawaka ila ile asilimia Bado ipo hvyo hvyo *255%* na Hapo ikiamua Inaweza Ikazima gafla..
kubwa Zaidi Nikiitumia Laptop direct yani bila Kueka Betri asilimia Ya *255%* huw inakuwepo ila Laptop haizimi.
Hivyo Naomba kujua
-Hii *255% Available (plugged In) Husababishwa Na Nini na Utatuzi wake
-Kwanini niwekapo betri Pc huzima haijalishi umeweka Jipya au la Zamani.
Asante.
NB.Sory kwa Kuelezea Sana, Ila naamini Nimeeleweka.