Msaada: Lenovo laptop screen/monitor imevunjika na kumwaga wino

Msaada: Lenovo laptop screen/monitor imevunjika na kumwaga wino

HISTAMINE

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
477
Reaction score
1,135
Leo wakati naangalia mechi kati ya Aston villa na Chelsea, nikapata mihemko ya mpira nikadunda ngumi kitandani pembeni yangu, kumbe! nilikuwa nimeweka pc sikuiona, matokeo yake imevunjika screen ndani kwa ndani, rangi zimetawanyika, imepata kama kifafa hivi- maandishi yanacheza cheza.

Wapi ntaweza kubadili screen ya pc yangu: LENOVO IDEAPAD110, screen size kati ya inch 15.6 hadi 17 hivi..sina uhakika
naishi pembezoni mwa mkoa wa Mwanza
 
Mbona vinapatikana chakufanya peleka kwafundi then yeye atajuawapi atakapopata iyo screen!
 
Back
Top Bottom