Msaada line za uwakala Mkuu Tigo, Airtel pamoja M-pesa

Msaada line za uwakala Mkuu Tigo, Airtel pamoja M-pesa

Wakala mkuu tigo kwa dar sasa hawatoi kaombee mkoani uwe nahelaya mtaji 200m kitu kama hicho, ya mpesa 6m nina connection, airtel 1m uwe na ofisi conection ninayo halotel bure ila hawatoi kwa sasa kuna namna inafanywa unapatiwa
 
Ukiwa na NIDA ID,LESENI NA TIN NUMBER nitafute nikisaidie kuzipata

Tigo itachukua siku 3 kukamilika
Airtel siku 3 pia
Vodacom wao itachukua wiki 3
Halopesa masaa 3 tu

Nipigie 0744999991 au 0656646464
 
Mimi nataka line za uwakala wa kawaida tu,TIN ninayo leseni sina...tunafanyaje?
 
Ukiwa na NIDA ID,LESENI NA TIN NUMBER nitafute nikisaidie kuzipata

Tigo itachukua siku 3 kukamilika
Airtel siku 3 pia
Vodacom wao itachukua wiki 3
Halopesa masaa 3 tu

Nipigie 0744999991 au 0656646464
Mkuu nina namba ya NIDA na TIN leseni sina,naweza kukutafuta ukasaidia kupata hizi line?
 
Back
Top Bottom