JOSEPHAT_07
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 303
- 181
Kwahiyo nikishakuwa navyo nafanyaje ?Tafuta leseni ya biashara, TIN namba na mtaji wako TU...
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Zipake rangi ziwe za kijani Kama CMMJamani kimya hakuna anaejua kweli ?
Kupata tigo kwa vigezo labda mwaka 2025, lakini pamoja na vigezo lazma utoe 150kJamani kimya hakuna anaejua kweli ?
Wakala mkuu ndio anaitwaga Super dealer au?Jamani kimya hakuna anaejua kweli ?
Wakala mkuu?Kupata tigo kwa vigezo labda mwaka 2025, lakini pamoja na vigezo lazma utoe 150k
Mi wakala wa kawaidaWakala mkuu?
Ameulizia uwakala mkuu.Mi wakala wa kawaida
Uwakala mkuu nenda kwenye mtandao husika nahisi utakuwa mwajiriwa kabisa huko,huwez pewa hivi hvAmeulizia uwakala mkuu.
Ni huyo mshkaji ndio ameulizia mkuu,nadhani atakua amepata pa kuanzia.Uwakala mkuu nenda kwenye mtandao husika nahisi utakuwa mwajiriwa kabisa huko,huwez pewa hivi hv
Ok sawa ngoja nijaribu kwenda kuuliziaUwakala mkuu nenda kwenye mtandao husika nahisi utakuwa mwajiriwa kabisa huko,huwez pewa hivi hv
Mimi nataka line za uwakala wa kawaida tu,TIN ninayo leseni sina...tunafanyaje?Wakala mkuu tigo kwa dar sasa hawatoi kaombee mkoani uwe nahelaya mtaji 200m kitu kama hicho, ya mpesa 6m nina connection, airtel 1m uwe na ofisi conection ninayo halotel bure ila hawatoi kwa sasa kuna namna inafanywa unapatiwa
Bei gani?Njoo nikuuzie lain zote
Mkuu nina namba ya NIDA na TIN leseni sina,naweza kukutafuta ukasaidia kupata hizi line?Ukiwa na NIDA ID,LESENI NA TIN NUMBER nitafute nikisaidie kuzipata
Tigo itachukua siku 3 kukamilika
Airtel siku 3 pia
Vodacom wao itachukua wiki 3
Halopesa masaa 3 tu
Nipigie 0744999991 au 0656646464