Msaada link ya final NEDBANK CUP Mamelodi vs Orlando Pirates

Msaada link ya final NEDBANK CUP Mamelodi vs Orlando Pirates

Wakuu msaada tafadhali wa link niweze kuangalia mechi hiyo kupitia simu.
Mechi imeanza lakini hawa Mamelody wanaharibu soka ndani na nje ya SA. Wamepewa penati dakika ya 9 wamekosa lakini ilikuwa kituko. Hata Tatu Malogo hawezi kutoa penati ya kihuni namna hii.
 
Back
Top Bottom