Msaada;Liverpool Online degree!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Wakuuu muda si mrefu nimekuwa nikitaka kujiendeleza kaelimukangu kutoka hapa nilipo mpaka kwenye hatua nyingine.Sasa mambo ya kazi ya naninbana ila katika kusurf nimekuja kukuta Liverpool University wanatoa online degree ya course ninayoitaka.

Wakuu naomba kujua kama kuna mwenye ufahamu wa hiki chuo anijuze!!
 
Unamaanisha University of Liverpool (http://www.liv.ac.uk/)?

Ni Uni ya maana, inayokubalika
 
Wazee na mimi nimekua naona advert yake hapa jamvini ila sijafanya follow up. Kama kuna yeyote aliye gonga any online degree in masters level tunaomba atupe ufafanuzi. maana kwa sasa na mitandao ilivyo ya kumwaga inaweza ikawa good idea kujichanganya nao kama wanalipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…