Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inamaanisha mkopo utatolewa kwa usawa yan hapatakuwa na wanaolipiwa 100% na wengine kupimiwa.
Habari wadau,ktk guide book ya nacte kuna baadhi ya vyuo havijawekewa ada yake.Pia wkt wa kuapply kuna vyuo vimeandikwa"loan not priority"hii ina maana gan wadau au hakuna ufadhili mwaka huu??