Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
Kuna lodge moja iko juu kidogo ya Bakurutu karibu na kituo cha Vijana, siikumbuki jina lakini ni nzuri sana.
Labda unazungumzia Mbuke pasafi sanaKuna lodge moja iko juu kidogo ya Bakurutu karibu na kituo cha Vijana, siikumbuki jina lakini ni nzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Maganzu, Mbuke na kama hotel kwa budget ya 30k kuendelea .. ila vitanda vidogo ni pale pale opp Maganzu..Msaada wadau
Natarajia kwenda shinyanga wiki ijayo. Naomba kujua Guest/Lodge au hotel nzuri ya gharama kati ya 20,000 na 30,000 kwa siku. Mimi ni mgeni kabisa Shinyanga.
Natanguliza shukrani
Pale kuna moja ambayo ina mgahawa alafu mbele kidogo karibia na stand ya zamani kuna Malekos, kuna guest bubu moja maeneo hayo inaitwa mapenzi full dada poaKuna lodge moja iko juu kidogo ya Bakurutu karibu na kituo cha Vijana, siikumbuki jina lakini ni nzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app