Msaada - Looking for LCD Projector

Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Posts
984
Reaction score
133
Nahitaji kununua LCD Projector ambayo inaweza ku-display images from at least a 30-feet distance.

Kuna rafiki amenishauri kuwa anything ambayo ina at least 2000 lumens inaweza kutua picha mzuri kwenye hiyo distance.

Je kuna kingine ambacho natakiwa kuzingatia?

Wataalam wa technology tafadhali saidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…