Habari za muda huu,naomba kuelimishwa kuhusu mafuta ya me&u kama yana madhara yoyote kama vile kubadilisha rangi ya ngozi,au kuharibu ngozi.binafsi sijawahi kuyatumia ila nimetumiwa na rafiki yangu kama zawadi,naombeni kuelimishwa ili kama yana madhara nisiyatumie.