Yakoje?
Me&U ni body cream ambazo zinatengenezwa hapa Tanzania na zimeruhusiwa kuuzwa na TFDA ambao ndio wenye mamlaka upande wa dawa na vyakula. Na haina madhara yoyote yale. Kwa sababu haina viambata vyenye sumu kama Mercury au hydroquinone.
Tumia tu,ni moja ya product zenye kupendwa na watu.