tzfanatic
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 626
- 382
Salamu wanabodi
Ndugu zangu naomba mnisaidie, uso wangu unamafuta mengi sana so nilikua nauliza nifanyeje ili niweze kuyapunguza ama loshen au mafuta ama kitu chochote chenye uwezo wa kuweza kung'arisha bila kuleta madhara kwa ngozi yangu. Maana chunusi haziishi usoni mwangu.
Asanteni.