Zoa zoaSalamu wanabodi
Ndugu zangu naomba mnisaidie, uso wangu unamafuta mengi sana so nilikua nauliza nifanyeje ili niweze kuyapunguza ama loshen au mafuta ama kitu chochote chenye uwezo wa kuweza kung'arisha bila kuleta madhara kwa ngozi yangu. Maana chunusi haziishi usoni mwangu.
Asanteni.
UtaZoa zoa
Utapeli wa hal ya juuZoa zoa
Salamu wanabodi
Ndugu zangu naomba mnisaidie, uso wangu unamafuta mengi sana so nilikua nauliza nifanyeje ili niweze kuyapunguza ama loshen au mafuta ama kitu chochote chenye uwezo wa kuweza kung'arisha bila kuleta madhara kwa ngozi yangu. Maana chunusi haziishi usoni mwangu.
Asanteni.
bei yake mkuutumia "seven miracle ya lemon" pia zipo za aloevera na karoti. haya mafuta ni mazuri sana pia hayachubui. nilikuwa balaa sasa nipo mbali sana chunusi zinakimbia kabisaaaaa