Msaada lotion nzuri

ziana

Member
Joined
Nov 23, 2016
Posts
45
Reaction score
32
Kama heading inavyojieleza wapendwa nahitaji ushauri wa lotion nzuri ya kupaka ambayo haina cream.

Nahitaji kuwa soft zaidi ngozi yangu sio ya mafuta na wala sio kavu haina chunusi kwa hiyo ni lotion gani nzuri itafaa ngozi yangu.

Asanteni
 
ninayo lotion nzuri nitafute 0658607111 ama nipe yako
 
Kama heading inavyojieleza wapendwa nahitaji ushauri wa lotion nzuri ya kupaka. Ambayo haina cream.
Nahitaji kuwa soft zaidi Ngozi yang sio ya mafuta na wala sio kavu haina chunusi kwa hiyo ni lotion gani nzuri itafaa Ngozi yang asanteni
Paka cocoa butter ya mgando org lotion sijui mkorogo tupa kule utabaki nyororoo naita miujiza.
 
nimegundua jambo moja usione wadada wazuri na ngozi soft ni vigumu mtu kukuambia anatumia nini
ila nikupe tu siri kidogo
kunywa maji mengi at least lita mbili kwa siku
sabuni tumia ya papai ,papaya zile origino ogea hizo na mafuta ya nazi
paka bio oil na lotion yoyote nzuri .igram,nova au yoyote tu maana ushasema una ngozi ya kawaida
miguuni paka glicerine na carrot
 
Aveeno, Jergens, au Dove zinaweza kukufaa.
 
Hivi kuna mafuta ya kuondoa michilizi mikubwa mikononi?msaada plz kuna mdada huku yamemtoka sn mikononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…