Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Ahsante sana kwa msaadaJapo sijawahi kitumia ila Kuna dada anaitwa Sachque anauza "Snail lotion"
20000-25000 Tzs duka lake liko kijitonyama Polisi mabatini , Wadau wake wanaisifia sana nafikiri ni nzuri.
Pia kama unampunga nenda kwa Director Joan kanunue Wix 50000 -60000 Tzs
mapowdaah bebby!!!!Snail snail snail beibyyyyy.....10000 to 15000 tuuu
Japo sijawahi kitumia ila Kuna dada anaitwa Sachque anauza "Snail lotion"
20000-25000 Tzs duka lake liko kijitonyama Polisi mabatini , Wadau wake wanaisifia sana nafikiri ni nzuri.
Pia kama unampunga nenda kwa Director Joan kanunue Wix 50000 -60000 Tzs