Wakuu na mm msaada,juzi kulikuwa na mvua kubwa radi iliyopelekea umeme kukatika,cha ajabu ulivyorudi kwangu umegoma kabisa kurudi zaidi ya siku mbili kuwaita TANESCO kuangalia wanadai mita imekufa mpaka waje kubadili tena itafanyika baada ya zaidi ya wiki..hakuna alyewah kutana na hii changamoto na alitatuaje?maana huo muda n mrefu sana aisee