MSAADA -m TCU SELECTION 2013/2014

Daa inachosha kusubiri.......coz mpaka watu kitaa wanaona kama uliwazuga haujafaulu
 

Huo ubet wa mwisho ulioweka ndo umeharibu comment yako nzuri na elekezi Mkuu share
 
Last edited by a moderator:
Allen, we inaelekea ni mgumu wa kuelewa. kama unategemea kwenda University-ex form six, you have to make up you mind, otherwise you will face the consequences you can predict! Bye! Nisaliie wa Musoma na Kiabakari,Buhemba etc

kiingereza waachie wenyewe mkuu....
 
Huo ubet wa mwisho ulioweka ndo umeharibu comment yako nzuri na elekezi Mkuu share

Mi mwenyewe nilianza kumpa marks 100 kwa alichoandika ila nilivofika kwenye conclusion ndo nikachefuka kabisaaaa,nikampa 0
 
Last edited by a moderator:
Daa inachosha kusubiri.......coz mpaka watu kitaa wanaona kama uliwazuga haujafaulu[/QUOTE MAPRITENDA kitaa..................
yaani tunaonekana kama MAPRITENDA huku kitaa...............................
 
Huo ubet wa mwisho ulioweka ndo umeharibu comment yako nzuri na elekezi Mkuu share

inaoneka wewe ndo huelewi tcu ni nini na kazi yke ipi swala la kuannaunce post ni moj kati ya shughuli zake muheshimiwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…