hii inaitwa barcode, kazi yake ni kutambulisha bidhaa, kwa mfano kwa kutumia barcode scanner utapata taarifa zote za bidhaa hiyo. kwa habari zaidi google barcode
kama alivyo kueleza mchangiaji wakwanza hii ni barcode,kaziake nikutunza taarifa mahususi wa hiyo bidhaa husika kwamfano tarehe ya kutengenezwa,product ID(kiswahili chake kimenitoka),muda,kampuni iliotengeneza au mmiliki n.k.Hii humsaidia mteja kutambua ubora wa bidhaa husika na mmiliki au mtengenezaji,pia huwa saidia wamiliki/mtengenezaji kutambua idadi ya bidhaa iliokosokoni,pamoja nakulinda hatimiliki yake..Kibandiko hicho hutusomwa na kifaa kiitwacho barcodereader

hivi wabongo tushaanza kutoa barcode zetu au bado tunategemea toka kenya mkuu..
Mkuu Lukansola.hii inaitwa barcode, kazi yake ni kutambulisha bidhaa, kwa mfano kwa kutumia barcode scanner utapata taarifa zote za bidhaa hiyo. kwa habari zaidi google barcode
Mkuu Lukansola.
Ni kweli barcode hutumika kueleza taarifa za bidhaa, lakini pia hutumika kueleza taarifa za mtu fulani. Mfano kitambulisho kinaweza kuwa na barcode ambayo itatoa taarifa zote za muhusika. Hii inaweza kutumika katika vitambulisho vya uraia, leseni za udereva, pasi za kusafiria, vitambulisho vya hifadhi ya jamii n.k.
Kwa nchi za wezetu, taarifa za raia mara nyingi zinakuwa centralised. hivyo kwa kutumia barcode ni rahisi kupata taarifa za mtu husika.
hivi wabongo tushaanza kutoa barcode zetu au bado tunategemea toka kenya mkuu..