Msaada Maana ya maneno haya ya Kiingereza kwa Kiswahili.

Msaada Maana ya maneno haya ya Kiingereza kwa Kiswahili.

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,056
Habarini za wakati huu wakuu..Hopefully mko salama..Nilikua naomba msaada wa kujua maana ya maneno yafuatayo kwa kiswahili.
1:Squeeze.
2:Squash.
3:Crumple.
4:Crush.
5:Shrink.
6😛ress.
7:Wring.
8😛inch.

Asanteni saaana.

@ChaliiYaKijengeJuu.
 
Toa izo emoji au nazo unataka maana yake
Hapana mkuu sijaziweka mimi,,Sijui nani waga anaziweka kwenye maneno yanayoanzia na herufi"P"Yaani ukiandika neno lenye"P"mwanzoni ile P inafutwa yanakuja hayo ma emoji yao.ila hayo maneno apo kwenye emoji kuna herufi P.
 
Ngoja nijaribu maneno ya Kiswahili na kujaribu kulinganisha. Nataja bila kufata mpangilio wa muuliza swali.
Kamua
Minya
Bonyeza
Finya

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habarini za wakati huu wakuu..Hopefully mko salama..Nilikua naomba msaada wa kujua maana ya maneno yafuatayo kwa kiswahili.
1:Squeeze.
2:Squash.
3:Crumple.
4:Crush.
5:Shrink.
6😛ress.
7:Wring.
8😛inch.

Asanteni saaana.

@ChaliiYaKijengeJuu.
1. Squeeze - minya
2. Squash - chanda
3. Crumple- ponds
4. Crush - chakacha/saga
5. Shrink-nywea
6. Press- gandamiza
7. Wring- kamua
8. Pinch- finya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nijaribu maneno ya Kiswahili na kujaribu kulinganisha. Nataja bila kufata mpangilio wa muuliza swali.
Kamua
Minya
Bonyeza
Finya

Sent from my iPhone using JamiiForums
Thanks
 
Back
Top Bottom