princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Hapana mkuu sijaziweka mimi,,Sijui nani waga anaziweka kwenye maneno yanayoanzia na herufi"P"Yaani ukiandika neno lenye"P"mwanzoni ile P inafutwa yanakuja hayo ma emoji yao.ila hayo maneno apo kwenye emoji kuna herufi P.Toa izo emoji au nazo unataka maana yake
Ndo maana ya kuja apa jukwaa la Lugha,,But haina noma mzazi.Download English Swahili dictionary, utapata translations sahihi.
Download English Swahili dictionary, utapata translations sahihi.
Ndo maana ya kuja apa jukwaa la Lugha,,But haina noma mzazi.
Huwa kiswahili kinachutumika huku kwenye hii dictionary sijui ni cha kenya au wapi. Hakieleweki eleweki vizuri
1. Squeeze - minyaHabarini za wakati huu wakuu..Hopefully mko salama..Nilikua naomba msaada wa kujua maana ya maneno yafuatayo kwa kiswahili.
1:Squeeze.
2:Squash.
3:Crumple.
4:Crush.
5:Shrink.
6πress.
7:Wring.
8πinch.
Asanteni saaana.
@ChaliiYaKijengeJuu.
1. Squeeze - minya
2. Squash - chanda
3. Crumple- ponds
4. Crush - chakacha/saga
5. Shrink-nywea
6. Press- gandamiza
7. Wring- kamua
8. Pinch- finya
Sent using Jamii Forums mobile app
ThanksNgoja nijaribu maneno ya Kiswahili na kujaribu kulinganisha. Nataja bila kufata mpangilio wa muuliza swali.
Kamua
Minya
Bonyeza
Finya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Big shout out to you bro.1. Squeeze - minya
2. Squash - chanda
3. Crumple- ponds
4. Crush - chakacha/saga
5. Shrink-nywea
6. Press- gandamiza
7. Wring- kamua
8. Pinch- finya
Sent using Jamii Forums mobile app