Msaada: Mabaka haya kwenye korodani dawa yake nini?

Zaburi 23

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
570
Reaction score
658
Kama picha inavyoonekana hapo, nasumbuliwa na hayo mabaka kwenye kende hapo. Vinawasha hatari sio poa.
Msaada wenu dawa gani inafaa?



=====

Maoni yaliyotolewa na mdau


------
-----
-----
-----
 
Pole mkuu,nahisi ni ugonjwa wa ngozi ama fungus, mara nyingi hizo sehemu ni sensitive sana na zinataka usafi na uangalizi wa hali ya juu sana, utakuwa ulikutana na mtu mwenye tatizo hilo akakuambukiza maana maradhi mengi ya ngozi yanaambukiza.

Nakushauri tafuta Daktari mzuri wa ngozi atakusaidia, au fika Pharmacy kubwa zenye pharmacist watakusaidia, na usione aibu hata kumuonyesha ikibidi Ili akusaidie.

Zaburi 23,
 
Kama picha inavyoonekana hapo, nasumbuliwa na hayo mabaka kwenye kende hapo. Vinawasha hatari sio poa.
Msaada wenu dawa gani inafaa?

View attachment 1267366
Hiyo ni chronic fungal infection. Inasababishwa mara nyingi na unyevu wa mara kwa mara wa meneo hayo, na pia hali ya uchafu kama vile kutumia boxer moja kwa muda mrefu bila kubadilisha, hasa maeneo yenye joto kama Dar.

Matibabu:
1.Kitu kikubwa cha kwanza, kabla ya matibabu yoyote yale ni kuzingatia usafi wa maeneo hayo, ikiwa ni pamoja na kutovaa boksa kwa zaidi ya siku moja hasa kwa maeneo yenye joto kama Dar, pamoja na kuhakikisha kuwa unapomaliza kuoga, umejifuta vyema maeneo hayo, na pia unapomaliza kujitawaza kwa maji baada ya haja kubwa, unajifuta majimaji na taulo au toilet paper na kuhakikisha kuwa maeneo hayo ni makavu kabisa.

2.Pili, kama unatumia chupi, nashauri uachane na chupi uwe unatumia boksa ambazo ni pana, zinapitisha hewa na ni za COTTON kwa 100% (hizi ni expensive zaidi, but ndizo ambazo zinashauriwa kiafya kwa usalama wa nyeti zako).
3.Tatu, wakati unatumia dawa, hakikisha kwamba boksa zako zote umeziloweka kwenye maji ya moto kabisa kwa muda wa dakika 15-20 kisha uzifue kwa sabuni, na kuzianika kwenye JUA, halafu kabla ya kuzivaa tena uzipige pasi vizuri.

4.Usivae boksa mbichi au yenye unyevu, pia hakikisha boksa zako unazianika kwenye JUA (sio ndani chini ya kitanda); Na hakikisha UNAPIGA PASI boksa kabla hujaivaa.

5.Kama una mpenzi wako ambae mnakutana kimwili, hakikisha pia na yeye anatumia dawa KABLA hujakutana nae tena (dawa za fungus za sehemu za siri kwa wanawake ni tofauti); Otherwise, utajitibu wewe, halafu ukirudi tena kwa mpenzi/mke wako, anakuambukiza tena, fungus zinarudi tena UPYA! Haya maelezo niliyokupatia ni muhimu sana ukayafahamu na ukayafuata,kabla na wakati unakunywa dawa, la sivyo kila siku wewe utakua ni mtu wa kunywa dawa za fungus.

Pole sana
Zaburi 23
 
Brother hiyo ni 'Pumbu erosion' almaarufu kama PE

wala haiambukizwi kwa njia ya mapenzi,bali ni kwa maji, hata hayo unayotumia kufulia boxa. Cha kufanya fua hizo boxa na maji moto acha zikauke halafu piga pasi ya moto mkali.

Tafuta zile dawa za mapunye za kupaka halafu paka na shinda ndani siku hiyo bila chupi acha kende zipigwe na hewa siku moja tu zinapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…