Msaada: Mabaka haya kwenye korodani dawa yake nini?

Kama picha inavyoonekana hapo, nasumbuliwa na hayo mabaka kwenye kende hapo. Vinawasha hatari sio poa.
Msaada wenu dawa gani inafaa?

View attachment 1267366
Paka tube ya Whitefield utapona mimi pia yalinikuta hayo ila ni kawaida kama unakaa sehemu za joto then unaoga na haupakaushi vizuri ila pata dawa ya fungus utapona
 
Miezi miwili iliyopita ujinga kama huo ulinipata tena mimi pumbu zikawa zinachubuka mixer na vipele kwenye dushe na muwasho kama wote tena asubuh mashine ikisimama..
Kuna tube nilipaka vyote vikaisha.
 
Miezi miwili iliyopita ujinga kama huo ulinipata tena mm pumbu zikawa zinachubuka mixer na vipele kwenye dushe na muwasho kama wote tena asubuh mashine ikisimama..
Kuna tube nilipaka vyote vikaisha..
tube gani hiyo?
 
umechangia vp sasaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa saa moja nanusu wakati narudi home sasa hivi navochangia niko home ndio nimefungua thread ila ushauri nenda hospital tu mkuu kamuoneshe Dokta wa ngozi pale Tegeta hospital ya mission ila ukimkuta Sisiter ndio Dokta muda utakao kwenda akikwambia uvue sijui itakuwaje
 
Niliwahi kuwa na tatizo kama hili.
Tafuta cream inaitwa Amol-G, tumia pia na dawa ya kumeza inaitwa Fluconazole ndani ya wiki tu utaona mabadiliko
 
Pole sana mkubwa nunua mafuta ya nazi kilabaada ya kuoga jikaushe jipake mwili mzima hadi katikati ya miguu na huko kwenye ishu paka mengi hadi hilo la kurekebisha wanawake siku 3 tuu hiyo hali itaisha na usiache kupaka ni mazuri sana mi mwenyewe nilikuwa natoa pumba kabisa bora wewe mabaka
Kama picha inavyoonekana hapo, nasumbuliwa na hayo mabaka kwenye kende hapo. Vinawasha hatari sio poa.
Msaada wenu dawa gani inafaa?

View attachment 1267366
 
Hahahh pumbuerosion hiyo
Nenda pharmacy nunua whitfield ointment upake, inaisha ndani ya siku tatu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…