mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,027
- 1,869
Nifafanulie mkuuShortcut itakufurahisha very soon wait....
Inaonekana wanavyo ya classify kuwa REJECT kuna mashine wanatumia kutambua udhaifu na matundu yasiyoonekana kwa macho. Hata hivyo nilivyouziwa ni bora ningenunua dukani kwa jumla kwani bei ni karibu ile ile kama hujui kupatana kama mimi. Wale wauzaji wanaangalia umekujaje? Halafu wanakupa BEIKuwa makini sana. Mimi nilijenga banda la kuku likiwa na plan B ya kupangisha mradi ukizingua. Ndani ya siku 0 nyumba ilikuwa inavuja kama mwembe. Achana nayo
Shukrani sanaInaonekana wanavyo ya classify kuwa REJECT kuna mashine wanatumia kutambua udhaifu na matundu yasiyoonekana kwa macho. Hata hivyo nilivyouziwa ni bora ningenunua dukani kwa jumla kwani bei ni karibu ile ile kama hujui kupatana kama mimi. Wale wauzaji wanaangalia umekujaje? Halafu wanakupa BEI
Suala la uaminifu tumeachwa mbali sana sisi huku TZ. Nilienda sehemu huko majuu jamaa ni waaminifu sana wakikuambia kitu kipo sawa amini. Huku Duh! hadi Supermarket wakiweka SALE say 75% ya original price usipokuwa makini unauziwa bei ya awali. Ukistuka ndo wanakwambia tulikuwa hatujabadili bei.Haya haya ya dukani yanayoitwa msauzi asilimia kubwa ni reject kwani nlishashuhudia pale tegeta yakiwa plain kabisa na yakapangwa rangi na muuzaji na kuwa mapya kabisa unawaeza sema kachukua alaf kumbe ushapigwa ukiweka muda mfupu 2 yanapauka na kulika na kutu.
Mfano mzuri tu nenda sehemu wanapouza mbao, waambie naomba nitumie tepu yangu staki ya kwenu utaona wanavyojiuma. Kwakweli uaminifu hapa Tanzania una approximate 0 kwani hizo tepu nazo zinachakachuliwa sana na ukirudi ktk mabati ndo kabisa unapigwa K O raundi ya kwanza 2Suala la uaminifu tumeachwa mbali sana sisi huku TZ. Nilienda sehemu huko majuu jamaa ni waaminifu sana wakikuambia kitu kipo sawa amini. Huku Duh! hadi Supermarket wakiweka SALE say 75% ya original price usipokuwa makini unauziwa bei ya awali. Ukistuka ndo wanakwambia tulikuwa hatujabadili bei.