Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,721
- 2,383
Natumaini ni kwema wakuu.....
Naomba kujua machimbo ambapo naweza kua napata jezi mipira na viatu vya michezo pamoja na vifaa vingine hasa vya mpira wa miguu.
Natamani kufahamu kule wanakonunua wanaouza rejereja Kariakoo manake naamini wananunua humohumo ila ndio sipajui kwa sababu kila nikienda kununua ninaambiwa ngoja kidogo tukuletee then wanarudi na mzigo na imekua tabia ya maduka mengi niliyotembelea.
Kwa ajuae tafadhali sana naomba anijuze.