Natumaini ni kwema wakuu.....
Naomba kujua machimbo ambapo naweza kua napata jezi mipira na viatu vya michezo pamoja na vifaa vingine hasa vya mpira wa miguu
Natamani kufahamu kule wanakonunua wanaouza rejereja kariakoo manake naamini wananunua humohumo ila ndio sipajui kwa sababu kila nikienda kununua ninaambiwa ngoja kidogo tukuletee then wanarudi na mzigo na imekua tavia ya maduka mengi niliyotembelea
Kwa ajuae tafadhali sana naomba anijuze
Kuna sehemu wanauza 17000 kwingine 22000
Hawa mbona wana bei, hawana utofauti na wengine!Nenda Bosnia sports store Mtaa wa Lindi na Muhonda pale.
Utakuja kushkuru
Umeingia vibaya man hao jamaa vibonde ... Ukiwayumbisha unapata unachotaka na Bei zao sio ngumuHawa mbona wana bei.hawana utofauti na wengine!