Msaada;Macho kuwasha

Msaada;Macho kuwasha

princess J

Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
94
Reaction score
15
Habari za jioni,

Naomba msaada wa dawa ya macho yanayo washa,nina vaa miwani takribani miaka 13.
Ivi karibuni macho yananiwasha sana na kutoa uchafu mweupe,nimetumia dawa za matone kutoka hospital lkn haikusaidia.

Mwenye kujua dawa ya macho yanayo washa tafathali.
 
Mimi nakushauri kumuona specialist wa macho kwa uchunguzi wa kina na matibabu bora. Pia nakupa Pole na kukuombea kwa Mungu upone haraka
 
Mimi nakushauri kumuona specialist wa macho kwa uchunguzi wa kina na matibabu bora. Pia nakupa Pole na kukuombea kwa Mungu upone haraka

Asante sana kwa ushauri,most of all kwa ur prayers
 
Back
Top Bottom