Msaada madaktari wetu

Msaada madaktari wetu

MMOJA

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2012
Posts
445
Reaction score
259
Kuna hali ambayo naona inaanza kunitokea hivi karibuni, nikiwa nawaaza kitu nasikia kichwa kinaanza kuuma na pia moyo unaanza kwenda mbio, Hivyo kwa ushauri na jinsi ya kufanya namna gani niondokane na hili na pia hili ni tatizo gani?
 
Nenda Hospitali kapime High Pressure huenda una matatizo ya maradhi ya moyo.@MMOJA KuPendelea kila siku asubuhi unapo amka kunywa maji ya Uvuguvugu Glasi 2 kabla ya kupiga mswaki ukisha maliza kupiga mswaki kunywa tena glasi

moja maji ya uvuguvugu na kaa usile kitu kama saa moja waweza kunywa chai na fanya hivyo wakati wa mchana kunywa tena glasi moja maji

ya uvuguvugu kabla ya kula chakula kisha usile kitu kama saa moja waweza kula chakula na usiku kunywa tena maji ya

uvuguvugu kisha kaa saa moja ndio waweza kula usiku na unapokwenda lala kunywa tena maji ya uvuguvugu

kisha lala fanya hivyo kila siku utapona matatizo yako inshallah. Tumia kisha uje unipe feedback.
 
Thanks for advice
 
Back
Top Bottom