Habari zenu wanajamii! Mimi nina ndugu yangu, ana tatizo la anger management na anxiety disorder, hii nimegoogle nakuona tabia zinaendana na magonjwa hayo. Ila naona ni vema akionana na mtaalam, namtafutia psychatrist au counsellor hapa dar.kwa yeyote mwenye information ya doctor hapa dar. Atakua amenisaidia sana. Amekua na a very broken childhood ndo maana nahisi ni tatizo lakudumu.
Asante sana in advance.
Asante sana in advance.