Kama yapi? au hujaelewa swali langu! Ni kuwa kuna dawa za kunyoosha nywele (relaxer) mfano, Dark & Love, Beutiful begin, Olive, Soften touch, n.k najua zipo za box na za kopo ambazo siye wenye kipilipili tunapenda kuzitumia ili kuzinyoosha nywele hata wanaume wanajua wake zao huzitumia so tukijuzana tunasaidiana sote.
Sasa madawa haya mengi yana hizo chemicals ambazo ni hatari kwa afya zetu ila, nimesikia zipo kati ya hizo ambazo hazina mercury au hydroquinone ndio nikaomba nitajiwe majina kwa wale wanaozijua. Asanteni.