Kinachoniboa madirisha haya,sijui ni mafundi au hizi materials ni feki,kwani huwa lazima yaache nafasi kati ya sliders za vioo na ya mbu.......ila nimeona duka moja hapa hapa Arusha linaitwa PCP mtaa wa sokoine wa micro PVC imetulia kwakweli kwenye ilo tatizo wamelitatua.But microPVC are not best in xtreme temperartures.