Msaada: Madoa sugu kwenye ngozi miguuni yatokanayo na aleji ya nyama ya nguruwe

Mnyaman kauzu

Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
77
Reaction score
56
Nahitaji ushauri wa kitabibu juu ya madoa sugu kwenye ngozi ya miguu. Hii ni baada ya kupata aleji baada ya kula nyama ya nguruwe.

Ningependa kujua dawa gani ninayoweza kutumia bila kujali aina ya dawa na gharama.

Tafadhali naombeni msaada wenu wanajamii wenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…