Msaada madoctor jf

The secretary

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
4,148
Reaction score
2,537
nimekuwa nikisumbuliwa na kichwa upande wa kushoto ikiandamana na maumivu kidogo ya meno ya upande wa juu lakini hayajatoboka wala hayajalegea kwa ujumla nayatunza sana meno yangu vilevile na jicho la upande huohuo misuri ya jicho inakuwa inabana maumivu haya hata nikinywa panado hayaponi. tatizo la macho ninalo muda mrefu na nimeacha kutumia miwani takribani miaka saba. kichwa kuuma inatokana na macho au meno?na nini tiba yake?
 
Nenda CCBRT, ukachunguzwe ili wajue tatizo kama ni la macho au la!!!
 
SINUSITIS.

Nenda ukamuone E.N.T. Specialist. Wakati unasubiri tumia anti histamis kama piriton au cetrizin.
 
Macho
AU
kipandauso <migraine>
AU
Shinikizo la Juu la Damu
AU
High Haemoglobin level.
etc etc etc.
Jibu zuri utalipata baada ya kufanyiwa vipimo mkuu kabla hujaanguka ghafla na pesa ya kwenda Apollo huna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…