Nashukuru Mwali,ila najitahidi sana kuoga japo sikutumia sabuni ya detol,but medicated soap kama family naitumia,zikakauka kidogo but zimeta zingine kwa pembeni mwa uti wa mgongo!!!Thanx,nijaribu kutumia detolMi sio daktri ila naona kama ni jasho... ni mtiririko wa jasho yapo kwenye mfereji wa uti wa mgongo... Jaribu kuoga na detol kwanza (for few days). Kama utaweza tafuta ile ya kuweka ndani ya maji ya kuoga. Kama unaoga kwa kutumia shower basi tumia sabuni tu.
Mkanda wa jeshi unawasha sana nasikia,yanaanza kama mapele then yanakuwa kama malengelenge ya kuungua moto,MKANDA WA Jeshi ni indicator ya kuwa mhusika Ana VIH.I'l take the step mkuu!mkanda wa jeshi huwa uko vp na unasababishwa na nini?
Nenda ukafanyiwe uchunguzi na vipimo [ hasa RPR /VDRL ]kwenye kituo cha tiba. Hapo utapata tiba sahihi kulingana na tatizo:
Yaweza kuwa vipele vya kawaida,vipele vinavyotokana na reaction,vipele vya fangasi au hata kaswende [Mungu apishie mbali].
Kila moja hapo inatiba tofauti.
>> Kuhusu alie comment kwamba waweza kuwa mkanda wa jeshi... Mmmmh ! Hapana,kwa maumivu ya mkanda wa jeshi,siku mbili tu toka uanze ungeenda mwenyewe hospital kabla hujabonyeza hizo keypad. Usicheze na Herpes Zooster Mkuu!
>> Kuhusu medicated soap [+detol]. Hizi zinakinga tu magonjwa ya ngozi. Mind u ugonjwa ukiishaingia uka settle haziwezi kuuondoa.
Mkanda wa jeshi unawasha sana nasikia,yanaanza kama mapele then yanakuwa kama malengelenge ya kuungua moto,MKANDA WA Jeshi ni indicator ya kuwa mhusika Ana VIH.
Hivi vipele haviwashi sana kivile,vilipoanzia vimekauka,ila vinaendelea kusambaa,ie vikikauka vingine vinaota pembeni pa zamani!thanxs!ngonja nikacheck afya
nenda hosp mapema, isije ikawa unacheza na mkanda wa jeshi...
I'l take the step mkuu!mkanda wa jeshi huwa uko vp na unasababishwa na nini?
... Daffi bhana!
This z not Herpes zooster,[mkanda wa jeshi]!
LABDA KAMA UMEPATWA NA YA FUATAYO!
1. Hivyo vipele vnauma hadi unakosa usingizi... Kwenye mkanda wa jeshi hata valium haioni ndani bro! Labda utumie CPZ [ lagactil ] high dose.
2. Mkanda wa jeshi ni Unilateral,yaani unashambulia upande mmoja tu wa mwili kwa kufuata nerves.
Hauvuki mgongo pale katikati,wala tumbo pale kitovuni kuhamia upande wa pili. Kama vya kwako vimevuka au viko katikati hiyo sio mkanda wa mjeda . Lakini kama vkiwa upande mmoja tu
na vinauma kama umewekewa moto... hiyo imekula kwako[ sorry,just a joke].
3. Point to not 60% ya wanaougua mkanda wa jeshi ni HIV +..... So sio kila mtu mwenye mkanda ana HIV [ 40% waweza kuwa sero neg ].
4. TAKE CARE MKUU,KAPIME [SIO KWA KU SUSPECT UNA HIYO KITU]BALI ILI UJUE KESHO UTAIANZA NA MIPANGO IPI !
mkubwa!!kimsingi nashukuru kwa ushauri murua!!!nimekimbia fasta hosiptal kuhofia kuwa ikawa mkanda wa jeshi!!japo kwa dalili za mkada wa jeshi ulivyo na ulivyoelezea,siyo kabisa!!!but i thanks god nimechukua vipimo vyote na sina tatizo lolote,zaidi ya kuambiwa it is an allage!!!!