Msaada: Maduka ya bidhaa Dubai

Msaada: Maduka ya bidhaa Dubai

Chamkae

Member
Joined
Feb 3, 2021
Posts
37
Reaction score
21
Hello jmni naomba kujua maduka ambyo yapo Dubai ambayo yanauz vitu especially viatu, nguo mikoba kwa bei ya jumla nzuri ambayo naweza nikaagiza nakuleta dsm nakama kuna mahali wanauza mtumba grade 1 wa viatu balo
 
Wakuu na mimi nataka kufahamu chimbo ya maduka ya car accessories kwa bei ya jumla hapo dubai. Asanteni
 
Hello jmni naomba kujua maduka ambyo yapo Dubai ambayo yanauz vitu especially viatu, nguo mikoba kwa bei ya jumla nzuri ambayo naweza nikaagiza nakuleta dsm nakama kuna mahali wanauza mtumba grade 1 wa viatu balo
Vitu ulivyotaja kupata Quality ya ukweli kwa Dubai ni bei ghali sana na kuvileta Dar kwa Biashara labda uwe na wateja maalumu, nakushauri China ndio mpango mzima.
 
China low quality sana, aende turkey🇹🇷 vitu quality ya ulaya
 
Vitu ulivyotaja kupata Quality ya ukweli kwa Dubai ni bei ghali sana na kuvileta Dar kwa Biashara labda uwe na wateja maalumu, nakushauri China ndio mpango mzima.
Poapoa asante bro
 
Back
Top Bottom