Msaada: Maelezo kuhusu Akaunti ya benki ya CRDB

Msaada: Maelezo kuhusu Akaunti ya benki ya CRDB

Mahash

Member
Joined
Jul 8, 2023
Posts
87
Reaction score
102
Aisee naomba unisaidie kama unamjua mfanyakazi yeyote wa CRDB basi naomba nisaidie kumuulza haya maswali.

1. Nikiwa nataka kufungua account mpya ya CRDB naweza kupata card siku hiyo hiyo?

2. Account yangu ya zamani sijaitumia kwa miaka miwili kwa kifupi haipo active lakini mwaka huu mwezi wa 8 inaishs muda. Je, nikitaka kuendelea na account yangu hiihii lakini kataka kuirenew kabla ya ku expire kwake, maana muda wake ukiisha nitakuwa sipo Tanzania.
 
Kadi nimeambiwa after two weeks nifanye.

Kuhusu hiyo account yako ambayo ilikuwa haitumiki kuna hatari ya kukatwa pesa ya charges.
 
Back
Top Bottom