Vedasto Leopold
Member
- Aug 31, 2017
- 27
- 33
Lakini itachukua mda mrefu mpaka file litumwe lirudi its better kuenda sehemu husika kurahisishaInawezekana ndio cha kufanya unaenda tawi la nssf karibu yako na documents zako zote....kisha wao wanakitengo kinaitwa benefits kipind wana verify michango yako watakuta hawana taarifa zako za malipo kwao katika records zao, ndipo wataangalia namba ya mwajiri wako watakuta ni mkoa mwingine wao ndiposa wqo wanatuma fax kwa tawi lako ulilokua unalipia awali kuomba taarfa zako za michango....kisha wao kule wata verify michango yako na kuwarudishia majibu ya michango yako kwa njia ya fax pia baada ya hapo unasubr mpunga wako....
Inaweza kufika miezi mitatu?Lakini itachukua mda mrefu mpaka file litumwe lirudi its better kuenda sehemu husika kurahisisha
Shukrani kwa ufafanuzi wakoInawezekana ndio cha kufanya unaenda tawi la nssf karibu yako na documents zako zote....kisha wao wanakitengo kinaitwa benefits kipind wana verify michango yako watakuta hawana taarifa zako za malipo kwao katika records zao, ndipo wataangalia namba ya mwajiri wako watakuta ni mkoa mwingine wao ndiposa wqo wanatuma fax kwa tawi lako ulilokua unalipia awali kuomba taarfa zako za michango....kisha wao kule wata verify michango yako na kuwarudishia majibu ya michango yako kwa njia ya fax pia baada ya hapo unasubr mpunga wako....
Miez 3 ni kama umefungua sehemu husika na kusubmitt all requirementsInaweza kufika miezi mitatu?
Hivi hua inachukua muda gani kupata pesa yako baada ya kujaza fomu ya kupata Malipo ya mkupuo?Inawezekana ndio cha kufanya unaenda tawi la nssf karibu yako na documents zako zote....kisha wao wanakitengo kinaitwa benefits kipind wana verify michango yako watakuta hawana taarifa zako za malipo kwao katika records zao, ndipo wataangalia namba ya mwajiri wako watakuta ni mkoa mwingine wao ndiposa wqo wanatuma fax kwa tawi lako ulilokua unalipia awali kuomba taarfa zako za michango....kisha wao kule wata verify michango yako na kuwarudishia majibu ya michango yako kwa njia ya fax pia baada ya hapo unasubr mpunga wako....
Inawezakna kufuatilia ila unaweza kuta ulipotoka ndo kuna urahc wa kupata ukilinganisha na ulikoenda..,.mfano nna rafk zangu wapo mwanza walienda kufuatilia kigoma ikawa rahc kupata...ila kwa hapa mjn imekuwa danadana nyingiHabari wadau.
Kwa wenye uzoefu na NSSF. Naomba kujua kama inawezekana kushugulikia mafao ikiwa mtu yupo mkoa mwingine tofauti na aliofanyia kazi. Mfano kafanya kazi Moshi Ila kwa sasa yupo Mwanza na document zote husika anazo.
Nawasilisha
Ni kweli mkuu fax kutumwa na kurudi kwa majibu ni kitu cha muda mfupi, ila sasa tatizo wanapenda kuweka miezi mitatu ili washughulikie kwa wingi ili wakiwatoa wanawatoa kwa bulk..ila kwa mikoa ambayo haina wanufaika wengi ni haraka sana kupata kuliko yenye wanufaika wengi kama Dar na Arusha na kwingineko kukubwa...sasa kama uo mkoa upo karibu na sio mkubwa its better ukaenda hapo kuliko kushughulikia ukiwa ndani ya mkoa mkubwa, kama Dar Na arusha nasema dar na arusha sababu nishafanya field Nssf hizi mbili.Lakini itachukua mda mrefu mpaka file litumwe lirudi its better kuenda sehemu husika kurahisisha
Piga simu NSSF MheshimiwaHabari wadau.
Kwa wenye uzoefu na NSSF. Naomba kujua kama inawezekana kushugulikia mafao ikiwa mtu yupo mkoa mwingine tofauti na aliofanyia kazi. Mfano kafanya kazi Moshi Ila kwa sasa yupo Mwanza na document zote husika anazo.
Nawasilisha