msaada mafindofindo yananiua huku

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
403
wakuu nimekuwa nasumbuliwa na mafindo findo kwa takriban wiki je? ni dawa gani ambayo ni sahihi kwa ajili ya kunitibu yaishe kabsa msaada!!!!!!!!!!!!!1
 
Pole sana my dear. Hata mie huwa nasumbuliwa sana na mafindofindo a huwa natumia pen v tu na ninapona haraka. Pliz kanunue hiyo dawa ambapo ni dozi ya siku 5 na bei yake haizidi sh 3,000/=. Kila la kheri!
 
asante sana
 
ile yaishe kabisa inabidi ukafanyiwe operations wanayatoa mimi niliwai kutolewa zamani nikiwa mdogo.

Kama uko Dar nenda Aga Khan hospital kaongee nao sababu hizo dawa ni kutuliza tu.mafindo mafindo yapo kama makohoz lakin ya nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…