Habari wadau. Mwenzenu toka nizaliwe mafua yananipa shida sana hadi nmekua mtu mzma sasa naona ni kero. Naombeni ushauri ni dawa gani nitumie kutuliza au kuponya kabisa hii kitu coz inanikera yaani vumbi kidogo,harufu ya perfume,upepo,manyoya vinaniletea taabu. Naomba msaada wanajamvi.