Probably utakuwa na allergy(na vitu gani? Ni hivo ulivovitaja) bora pia ukame allergy ujue vyote ambavyo vinakuletea allergic reaction. Ukishajua uepukane navyo.
Ila pia kuna dawa kwa ajili ya ku-suppress reaction ya mwili wako, so bora uende hospitali kama kuepuka baadhi ya vitu ni ngumu