Msaada: Mafundi bora kabisa Dar es Salaam wa kunyoosha na kupiga rangi

Msaada: Mafundi bora kabisa Dar es Salaam wa kunyoosha na kupiga rangi

Voltaire

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
1,231
Reaction score
1,189
Habarini?

Gari yangu imepata michubuko kwenye upande wa nyuma na kwa pembeni, nahitaji kurudia rangi sehemu hizo tu na rangi iwe inashahabiana kwa walau 80% au zaidi hapa Dar es Salaam, kwa anayefahamu mafundi bora wanaoweza kuifanya hii kazi anisaidie walau contacts au location.

Shukran!
 
Mtafute jamaa anaitwa ommy painter fb au inster

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom