Habarini?
Gari yangu imepata michubuko kwenye upande wa nyuma na kwa pembeni, nahitaji kurudia rangi sehemu hizo tu na rangi iwe inashahabiana kwa walau 80% au zaidi hapa Dar es Salaam, kwa anayefahamu mafundi bora wanaoweza kuifanya hii kazi anisaidie walau contacts au location.
Shukran!