profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
hii signal imeganda kwenye dashboard,nikizungusha funguo tu,fasta kanatokea,mpaka uzime gari kabisa ndo kanaondoka,gari ni toyota noah old model
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haitoki mkuuUkiendesha gari, funga mkanda, itatoka.
Hiyo ni logo ya airbag, sina elimu na jinsi inavyotatuliwa lakinihii signal imeganda kwenye dashboard,nikizungusha funguo tu,fasta kanatokea,mpaka uzime gari kabisa ndo kanaondoka,gari ni toyota noah old modelView attachment 2137690
hii signal imeganda kwenye dashboard,nikizungusha funguo tu,fasta kanatokea,mpaka uzime gari kabisa ndo kanaondoka,gari ni toyota noah old modelView attachment 2137690
honi inapiga vizuri mkuu,bila shida yoyote,na connector seatbelt ziko vizuri tu pamoja na lock zake...Hiyo ni alama ya SRS airbag.
Kama gari haipigi honi huenda ule mkanda chini ya usukani ushakata, kinyume cha hapo mpaka kupima.