kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 987
- 766
Nasikia hizo gari ni kisanga..
Umeshindwa kuondoka na gari kwa sababu ya mlio tu?? ilibidi uondoke nalo uwe unalisikilizia ili kujua ugonjwa. Wakati mwingine ni mvumo tu umetokea na ungeisha wenyewe... unalea gari kama yai... Kuna faida gani sasa kuwa gari!
Fundi wangu alikuda mwaka Jana nililia sana na kuamua kuuza gari
Humu kuna uzi unaelezea haya magari ya nissan x-trail kuwa ni vimeo sana na vifaa yake ni ghali.
sema kuattach link ndo siwez ila nenda kweny search hapo tafta nyuzi za nisaan utakuja tuNaomba nitumie Link
Search tu hapahapa JF tumeyajadili sana haya magarikulinganisha na SUV nyingine HAYAFAINaomba nitumie Link
Hiyo ni exhaust imetoboka au kuchanika au kufunguka ulipogonga mahaliNimejaribu kuliendesha jioni hii, naona bado muungurumo wa SUBARU FORESTER bado upo...hadi majirani wananiuliza nimebadilisha Exhaust
Hiyo ni exhaust imetoboka au kuchanika au kufunguka ulipogonga mahali
peleka garage yoyote wakachomelee lkn chunga sana ukae karibu kwenye muffler kuna vitu wanachomoa au watakwambia wavitoe havifai kataa kabisa
Basi na mrejesho tuletee sio uwe mbali ili tujifunze NISSAN X
Hujapata sululuhisho mkuu?NITAREJESHA MKUU
Dahhh....
Kwanza naomba nikupe pole kwa adha ulio ipata leo kwa kutembea kwa miguu, pole sana kwa uchovu.
Pili naomba nikupongeze kwa kumikili gari huku unaishi Daslam.
Lakini nisikitike tu kwakusema kwamba sijui lolote kuhusu mafundi wala magari, hapa nilikuja kukupa pole na kukupongeza tu.
Humu kuna uzi unaelezea haya magari ya nissan x-trail kuwa ni vimeo sana na vifaa yake ni ghali.