Msaada: Mafunzo ya Udereva wa Magari ya abiria.

Amoxlin

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,782
Reaction score
4,111
Habari ndugu ktk Jf.

Nna leseni ya udereva daraja "D" yenye muda wa mwaka na nusu.

Je, kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi naweza kuongeza daraja lingine baada ya muda gani?

Je, naweza kwenda daraja "C" bila kupitia daraja "E"?

Naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa juu ya mambo haya.
 
yap unaweza kwenda daraja c1, c2 na c3 tu ila sio C. ila lazima uende veta ukachukue kozi ya PSV na lazima leseni yako isiwe chini ya miaka mitatu.
 
Utaratibu ni kwamba lazma lesen yako iwe imefikisha miaka mitatu na kuendelea ndo unaweza ukasoma course ya PSV ambayo ni course ya kuendesha magari yote ya abiria likiwemo basi kubwa,,,ambapo unapata daraja c,c1,c2,,,na miaka nayo ni kigezo unatkiwa uwe na umri wa miaka kuanzia 30,,,, pia kuna course ya VIP,,ambayo ukiisoma utapata leseni kuanzia daraja c1, C2 ,ambayo utaendesha magar ya abiria kuanzia costa kushuka chini au hiace,, ..... JAPO KAMA MFUKO WAKO UNASOMA BAADH YA VIGEZO VITAWEZA KULEGEZWA NA UKAPATA HYO LESEN
 
Nashukuru kwa ufafanuzi wako.
Naomba kufahamu hawa madereva wanaoendesha viongozi wa serikali au sector binafsi wanachukuliwa zaidi madaraja gani?
 
Nashkuru kwa ufafanuzi mzuri.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi wako.
Naomba kufahamu hawa madereva wanaoendesha viongozi wa serikali au sector binafsi wanachukuliwa zaidi madaraja gani?

hao wamesoma VIP, na tayari wana class C
 
Utaratibu ni kwamba lazma lesen yako iwe imefikisha miaka mitatu na kuendelea ndo unaweza ukasoma course ya PSV ambayo ni course ya kuendesha magari yote ya abiria likiwemo basi kubwa,,,ambapo unapata daraja c,c1,c2,,,na miaka nayo ni kigezo unatkiwa uwe na umri wa miaka kuanzia 30,,,, pia kuna course ya VIP,,ambayo ukiisoma utapata leseni kuanzia daraja c1, C2 ,ambayo utaendesha magar ya abiria kuanzia costa kushuka chini au hiace,, ..... JAPO KAMA MFUKO WAKO UNASOMA BAADH YA VIGEZO VITAWEZA KULEGEZWA NA UKAPATA HYO LESEN

hawezi kupata C wakati ana D, ili apate C lazima awe na E, C1, C2, ama C3. na awe na cheti cha PSV. kusoma VIP ni hadi uwe na class C make hiyo inahusu kuendesha viongozi
 
Hizi kila moja nikiipa interval ya 3years mpaka niikute VIP kazi ipo kweli.
 
Kuna mdau amenitumia kutoka chuo flani cha udereva.
1481889699872.jpg
1481889716836.jpg
1481889764816.jpg
 
Back
Top Bottom